mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
KabisaKwahiyo kawapiga ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaKwahiyo kawapiga ?
Yaani sirudii tena huo ujinga wa kubeba magarasa wenzetu wanabeba makombe si tunabeba sarpongView attachment 1858663
Sitosahai nilivyovuja jasho kumbeba huyo kanjanja! Halafu alitujambia kitu kinanuka mbaya...
Una lazimisha furaha wewe...yani FA unafananisha na ligi? Uko sawa kweli?Ni bora ndio kwasababu lengo la kombe la ligi ni kuwakilisha inchi katika mashindano ya kimataifa kwa kucheza klabu bingwa. Na pili ni tuzo ya heshima pamoja na zawadi. Na kombe la Azam ni vile vile ni kupata nafasi ya kuwakilisha inchi katika mashindano ya kimataifa kupitia mashindano ya CAF CONFEDERATION CUP na pili kupata tuzo ya heshima na zawadi pia.
Usikate tamaa mkuu safari hii vinashushwa vyuma mpunga umesha wekwa na AzamYaani sirudii tena huo ujinga wa kubeba magarasa
Ishu sio mpunga tatizo injinia hersi wenzake wanapiga ten percent ye anapiga fifty percentUsikate tamaa mkuu safari hii vinashushwa vyuma mpunga umesha wekwa na Azam
Heeee. Kumbe ...ndio nayajua leo haya !?Ishu sio mpunga tatizo injinia hersi wenzake wanapiga ten percent ye anapiga fifty percent
alaumiwe kusajili garasazGSM kalipa mishahara na kusajiri wachezaji ...alaumiwe tena !
FA na Ligi kuu ni tofauti lakini ni bora kumaliza misimu kwa kubeba mkombe muhimu kama FA kuliko kumaliza msimu bila kombe lolote lile. Hata ulaya ipo hivyo kwamba target ya kwanza ni ubingwa wa ligi, ukikosa ligi basi kwenye msimamo uwepo hata nafasi ya pili na kisha kupambana kupata makombe mengineyo mbali na la ligi kuu. Italy kuna kombe la copa italy, Spain Kuna copa de ray, Germany kuna DFL cup, uingereza kuna Emirates FA cup na michezo yote hiyo inamfanya bingwa apate nafasi ya kucheza michuano ya kimataifa (Europa league)Una lazimisha furaha wewe...yani FA unafananisha na ligi? Uko sawa kweli?
Tehe,,tehe,,'hii picha inafikirisha sana''.View attachment 1858762
Adui namba 1 ni huyu,anadanganya Yanga mpaka uongo umekauka. Akipoteza na FA itamkuta balaa kubwa