Uzi wa mamelod kwa sasa umakwenda vizuri sana sokoni ! Kwa hapa dar umeanza kuadimika kabisa

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika mashariki na kati
 
Kama jezi ya mamelod ni kali kama ulivyoitakidi mleta uzi bila shaka hata ya Yanga ni kali sana na ukikataa basi unafanya unafiki😂
 
Alafu Cha ajabu wanunuzi wakubwa toka mwanzo ni Yanga! Mwana Simba kindaki ndaki hawezi kununua jezi linalofanana na la Yanga!
 
Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika mashariki na kati
kazi yenu
FB_IMG_1711641656667.jpg
 
Hizo jezi kama Simba akifungwa kesho, bila shaka hizo jezi zitakuwa nzito sana kuvalika. Mechi ya Yanga isiwashughulishe mkasahau jambo lenu ndilo linalotangulia.
Hahahahaha...hivi leo watazivaa kweli hao mbumbumbu?
 
Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika mashariki na kati
Mkasahau kama mnacheza na Mwarabu.
 
Attachments

  • images (1)-1.jpeg
    images (1)-1.jpeg
    25.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom