Uzi wa maswali kwa Rais wa TFF, Bw. Jamal Malinzi

Mhh, nalisikia kulikuwa na ujumbe maalum wa TFF umepiga kambi kule Cairo kufuatilia hilo suala. Ila naona kimyaa na hakuna mrejesho, sijui wamerudi au bado wanaendelea kula bhata za kiarabu!!

Isije ikawa TIEFUEFU wameamua kupotezea baada ya muamala kufanyika...
 
Binaadamu walimuuza Yesu (Issa) seuze watanzania wasiuzwe!!!??
...huu uchochezi wa wazi wazi kabisa..hahaha..tuvute subra labda watarudi na ushindi[emoji12]
 
Hiyo subra gani itakiwayo. Waswahili wananena wakati ukuta na pia utambue maandalizi ya mashindano yanatakiwa yafanyike mapema ili tusiendelee kuwa kichwa cha mwendawazimu?
 
Hilo suala la Serengeti boys imeshakula kwetu, pangekuwa na matumaini wangeshajirusha hewani
 
Back
Top Bottom