Mhh, nalisikia kulikuwa na ujumbe maalum wa TFF umepiga kambi kule Cairo kufuatilia hilo suala. Ila naona kimyaa na hakuna mrejesho, sijui wamerudi au bado wanaendelea kula bhata za kiarabu!!
Binaadamu walimuuza Yesu (Issa) seuze watanzania wasiuzwe!!!??Isije ikawa TIEFUEFU wameamua kupotezea baada ya muamala kufanyika...
Mhh, nalisikia kulikuwa na ujumbe maalum wa TFF umepiga kambi kule Cairo kufuatilia hilo suala. Ila naona kimyaa na hakuna mrejesho, sijui wamerudi au bado wanaendelea kula bhata za kiarabu!!
Isije ikawa TIEFUEFU wameamua kupotezea baada ya muamala kufanyika...
...huu uchochezi wa wazi wazi kabisa..hahaha..tuvute subra labda watarudi na ushindi[emoji12]Binaadamu walimuuza Yesu (Issa) seuze watanzania wasiuzwe!!!??
Hiyo subra gani itakiwayo. Waswahili wananena wakati ukuta na pia utambue maandalizi ya mashindano yanatakiwa yafanyike mapema ili tusiendelee kuwa kichwa cha mwendawazimu?...huu uchochezi wa wazi wazi kabisa..hahaha..tuvute subra labda watarudi na ushindi[emoji12]