Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Kwa magoroto wanatoa full package ya activities zote kama ifuatavyo ( two days, one night)

[emoji1338]Mountain biking
[emoji903]Hiking
[emoji91]Bonfire
[emoji476]Fishing
[emoji2114]Swimming
[emoji904]Camping ,utalala kwenye tents zao

Huku iki include meals, village entry fees etc
Yote hii ni kwa 150k (laki na nusu) gharama za usafiri zikiwa juu yako mpaka magoroto.


Kama utahitaji kulala kwenye vyumba vyao
Gharama itakuwa 175k (laki na sabini na tano) usafiri kujitegemea mpaka magoroto.


Pia kama unataka kwenda kwaajili ya baadhi ya activities means hutaki kuchukua full package, let's say unataka kwenda tu kuogelea na kutent then kesho unaondoka kuna gharama zake tofauti.


Kwa ambao wangependa kuandaliwa safari na gharama za kila kitu.

I personally have a trips kila weekend kwenda magoroto kutokea dar na gharama ni kama ifuatavyo ukiinclude usafiri mpaka activities.

LUXURIOUS PACKAGE
300,000 Tsh

Including

Private Transport from Dar es salaam

Soft drinks, Bites, BBQ during trip time

Hii inainclude usafiri kwenda na kurudi.

Karibuni.


Paula Paul Doto Dotto tonito120 Capital G Blaki Womani Aurora kakhulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Uluguru mountain kutokea Morogoro town. Hizi ni gharama zetu.

Karibuni.
Screenshot_20200216-120011.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mla Bata,
Kwa kile kidogo ninachokumbuka kwenye somo la historia David Livingstone alifia sehemu moja iitwayo Chitambo, mji sikumbuki lakini huko nchini Zambia na siyo Tabora.

Na mmoja wa watu wake wa karibu wakati wa kifo chake aliitwa Chuma ambaye pia akiwa na mwafrika mwingine walisafiri na wazungu wenzie David hadi Uingereza kupeleka mwili wa marehemu ulioondolewa moyo na kuwekewa chumvi ili usiweze kuharibika.
 
Hii story ukifika Kigoma Ujiji utaipata kwenye Livingstone museum
Kwa kile kidogo ninachokumbuka kwenye somo la historia David Livingstone alifia sehemu moja iitwayo Chitambo, mji sikumbuki lakini huko nchini Zambia na siyo Tabora. Na mmoja wa watu wake wa karibu wakati wa kifo chake aliitwa Chuma ambaye pia akiwa na mwafrika mwingine walisafiri na wazungu wenzie David hadi Uingereza kupeleka mwili wa marehemu ulioondolewa moyo na kuwekewa chumvi ili usiweze kuharibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi mzuri kwetu wenye hobby ya safari. Naomba kujua yeyote aliyewahi kufanya/organize tour ya Egypt kwenye miji ya Alexandria n Cairo au Sudan kwenye old city ya Meroe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom