#mustVisit , hii mwaka huu haiishi lazima niendeGombe National Park-KigomaView attachment 1358957View attachment 1358963View attachment 1358965
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha karibu mkuu, hope tutajifunza mengi zaidiHuu uzi ni mzuri maana miye nilifika Muheza nikaboreka bora tujue hivi vivutio km mfuko inaruhusu unaenda.
Sure thing
usafiri mbona hamna au tunaanzia hapo town kuukanyaga mpaka milimani chief?Kwa Uluguru mountain kutokea morogoro town. Hizi ni gharama zetu.
Karibuni.View attachment 1359303
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice place, how can I attend that place?Lake Chala, moshi. hapa utapata nafasi ya kuona aina mbalimbali ya ndege wazuri wenye kutoa sauti za kuvutia, mandhari mazuri na hewa fresh, lakini pia wazee wa canoeing hapa ndio mahala pake.View attachment 1358594View attachment 1358595View attachment 1358597
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkinihakikishia hako katoto katunda kapo huko naibuka hata sasa hivi. Pesa kitu ganiKikuletwa Hot springs (maji moto), Moshi . kama picha zinavyoonesha mandhari nzuri kabisa na ya kuvutia ambayo itakufanya urefresh na kutuliza akili yako.View attachment 1358588View attachment 1358589View attachment 1358590View attachment 1358592
Sent using Jamii Forums mobile app
usafiri mbona hamna au tunaanzia hapo town kuukanyaga mpaka milimani chief?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakukutanisha naye mkuu, ni mdau mkubwa pia wa kusafiri.Mkinihakikishia hako katoto katunda kapo huko naibuka hata sasa hivi. Pesa kitu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepapenda sanaMagoroto forest Muheza, Tanga hapa utaweza kuenjoy a beautiful view na utulivu wa kutosha wa hifadhii ndogo ya msitu wa magoroto, utaweza kuogelea pia.View attachment 1358582View attachment 1358583View attachment 1358584
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kile kidogo ninachokumbuka kwenye somo la historia David Livingstone alifia sehemu moja iitwayo Chitambo, mji sikumbuki lakini huko nchini Zambia na siyo Tabora. Na mmoja wa watu wake wa karibu wakati wa kifo chake aliitwa Chuma ambaye pia akiwa na mwafrika mwingine walisafiri na wazungu wenzie David hadi Uingereza kupeleka mwili wa marehemu ulioondolewa moyo na kuwekewa chumvi ili usiweze kuharibika.
Gombe National Park-KigomaView attachment 1358957View attachment 1358963View attachment 1358965
Sent using Jamii Forums mobile app
Udzungwa ipo wapi?.Simple: kuna jamaa kilaa jumamosi asubuh wanaenda udzungwa toka Dar na kurudi jumapili jioni. Haifiki laki 2, wacheki kwa 0713039875