Kutokana na ndugu wengi humu kuwa wachoyo sana na walafi, hawataki kualika wenzao hasa mimi kwani eti nakula sana kama mchwa.
Hivyo yeyote anayetaka kumualika mtu msimu huu kuelekea Xmass na mwaka mpya basi amtag hapa ili kumpa invitation, siku ya siku cha mtume kifinywe.. [emoji3][emoji3]
Acheni hizo.
Mimi na mywangu
Hannah tunawaalika wote pia...