Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #21
Yaani mpaka leo hatuaminiani, tatizo huchelewi kuni snitch.. 😀Toa lokesheni basi huu mwaliko wako umekaa kimtego mtego
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mpaka leo hatuaminiani, tatizo huchelewi kuni snitch.. 😀Toa lokesheni basi huu mwaliko wako umekaa kimtego mtego
[emoji7][emoji7]Kutokana na ndugu wengi humu kuwa wachoyo sana na walafi, hawataki kualika wenzao hasa mimi kwani eti nakula sana kama mchwa.
Hivyo yeyote anayetaka kumualika mtu msimu huu kuelekea Xmass na mwaka mpya basi amtag hapa ili kumpa invitation, siku ya siku cha mtume kifinywe.. [emoji3][emoji3]
Acheni hizo.
Mimi na mywangu Hannah tunawaalika wote pia...
Mywangu bata letu tunaelekea wapi?[emoji7][emoji7]