ππππInamaanisha kibanda cha chips!
7110111
Decode if you can
Onyesha njia kama kweli hujatumia gugoππππ
111001 110010
Sasa kwani hiyo njia siwezi kuipata google?Onyesha njia kama kweli hujatumia gugo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ukiandika nitajua... au elezea kwa manenoππππSasa kwani hiyo njia siwezi kuipata google?
Hayo ni matokeo ya yule ulompitia juzi aliekuja kuomba kufanyia intervew ya hotel manegimant kwako na nilikushauri sana usimle sasa hukunisikia ona sasa[emoji1][emoji1]1
We endeleza utakapokutia tuone tutafika mpaka Ngapi?
Let's start the game