Uzi wa picha: Manula akipambana kudaka shuti la Aziz Ki

Uzi wa picha: Manula akipambana kudaka shuti la Aziz Ki

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam wakuu wa JF,

Baada ya kumalizika kwa mechi pendwa sana hapa Afrika Mashariki na ngoma kuisha kwa droo ya moja moja, ingawa mnyama alikamia sana kushinda huu mchezo ama kwa kuloga au vinginevyo.

Leo karibu tuweke matukio muhimu ya picha yenye kumuonyesha Tanzania One A.K.A Manula akipambana katika mechi ile.


[emoji116][emoji116][emoji116]Hapa mwamba akipiga hesabu kali sehemu ya kupitisha boli (angle of elevation), kwa waliosoma hesabu wanajua.

FB_IMG_16666351984736926.jpg
 
Back
Top Bottom