Uzi wa picha: Manula akipambana kudaka shuti la Aziz Ki

Uzi wa picha: Manula akipambana kudaka shuti la Aziz Ki

Time will tell
Ashura cheupe aliwaminisha msimu huu mnaenda kubeba caf champions,weee wacha kabisa caf awabebi wanaojinyea.

caf ni ya vidume kisawasawa ikiingia timu bovu kama lenu kwa bahati mbaya mnachujwa zibaki timu 16 tu zenye akili.
JamiiForums1521774106.gif
 
Hivi Kuna mahusiano gani Kati ya ushabiki wa Simba na yanga na uendawazimu?
 
Ashura cheupe aliwaminisha msimu huu mnaenda kubeba caf champions,weee wacha kabisa caf awabebi wanaojinyea.

caf ni ya vidume kisawasawa ikiingia timu bovu kama lenu kwa bahati mbaya mnachujwa zibaki timu 16 tu zenye akili.View attachment 2397974
Kumbe destiny yetu ilikuwa Ni shirikisho mkuu
 
Back
Top Bottom