JF raha bhana.Kuna kipindi unakutana na majibu ya kiduanzi,nyodo,makuzi,ucheshi n.k ambayo hutokutana nayo sehemu yeyote ile.Kama ulikua umenuna inabidi ufumue kicheko tuuu.Ukiyaona hebu "tuskinishotie" na sisi tuyasome.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi naanza na haya [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1034896View attachment 1034898View attachment 1034899
Ha ha ha ha haaaa GENTAMYCINE nimecheka kweli ha ha haaaaaaaaaa
TECNO Y3TAHADHARI
Mnaotumia tecno msiturushie mascreenshot yenu hapa. Simu zetu hatutaki ziingie virusi vya mabaamedi.
Nikishambuliwa naomba msaada wako kiongozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utani wa ngumi huuu
🤣🤣🤣🤣TAHADHARI
Mnaotumia tecno msiturushie mascreenshot yenu hapa. Simu zetu hatutaki ziingie virusi vya mabaamedi.
Hahaaaa ujie sikuwa nimeelewa kwenye screenshot pale.Hahaha!!! majibu kuntu hata mimi najiulizaga hivi kaka kuona kaka yangu kweli
DaaahTAHADHARI
Mnaotumia tecno msiturushie mascreenshot yenu hapa. Simu zetu hatutaki ziingie virusi vya mabaamedi.
TAHADHARI
Mnaotumia tecno msiturushie mascreenshot yenu hapa. Simu zetu hatutaki ziingie virusi vya mabaamedi.