Uzi wa screenshot kutoka JamiiForum

Uzi wa screenshot kutoka JamiiForum

Kuna thread 3 huwa najiuliza ikitokea mods wakazifuta hasira za wadau itakuwaje?

1. Wazee wa kubet
2. Makapuku forum
3. Kupeana likes

Hizi ni threads ziko active muda wowote na wadau wake kila ukiingia ni kama wametengeneza familia fulani ya wao wao, nawaza mods siku waziondoe itakuwaje?
Bila kusahau uzi wa kutupia picha za mademu wakali
 
Hizo screenshot faiza foxy ni shida kwa majibu konki.
 
Duu
Screenshot_20190301-220219_1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hahaha hahaha
Bagamoyo ama bunju?! Halafu tabia yako ya kunisema na tecno yangu sitaki
Katecno kako kamefanana na ka yule mhudumu wa pale ghorofani Mamba Kotela. Nimekupa hela ya kununua Samsung sijui umemhonga nani. Unaniaibisha sana we hujui tu.
 
Katecno kako kamefanana na ka yule mhudumu wa pale ghorofani Mamba Kotela. Nimekupa hela ya kununua Samsung sijui umemhonga nani. Unaniaibisha sana we hujui tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu anakuona ujue!! Wewe wakunipa hela kweeeli nikahonge!! Nitafunga siku saba kwa ajili yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu anakuona ujue!! Wewe wakunipa hela kweeeli nikahonge!! Nitafunga siku saba kwa ajili yako
Pale Mamsera nilikuhonga nini? Jifanye umesahau basi...
 
Hahahahahahaha lol!

Unanikumbusha mwaka jana tupo china na mwenzangu ktk kukata mitaa jamaa yangu akaniuliza ile hoteli tuliokula cha kula cha mchana ipo sehem gani?bila ya kupoteza muda nikamjibu Gongo La Mboto[emoji1321]‍♂️
Jamaa akaniangaliaa akasema kwa hasira,oyaa acha upuuzi,nikamjibu mimi au wewe nani mpuuzi??
Wewe unajua wazi kabxaa huku china mimi na wewe wote wageni sawa na bubu na kiziwi.sasa iweje uniulize ati hoteli tulokula ipo mtaa gani[emoji38]
 
Back
Top Bottom