JF raha bhana.Kuna kipindi unakutana na majibu ya kiduanzi,nyodo,makuzi,ucheshi n.k ambayo hutokutana nayo sehemu yeyote ile.Kama ulikua umenuna inabidi ufumue kicheko tuuu.Ukiyaona hebu "tuskinishotie" na sisi tuyasome.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi naanza na haya [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1034896View attachment 1034898View attachment 1034899
Bora wafute zote hizo ila sio wa kubet
Halafu wewe unajisikiaje mie kutumia techno na wewe Samsung eti!IPhone yako naona kama chaji inataka kuisha
Unaniaibisha kwa kutoa siri za ndaniHalafu wewe unajisikiaje mie kutumia techno na wewe Samsung eti!
Umeanza wewe ujue!!Unaniaibisha kwa kutoa siri za ndani
Unajua niko Bagamoyo nakusubiria?Umeanza wewe ujue!!
Nimeumia sana
Hahaha hahaha hahahaUnajua niko Bagamoyo nakusubiria?
Bila kusahau uzi wa kutupia picha za mademu wakaliKuna thread 3 huwa najiuliza ikitokea mods wakazifuta hasira za wadau itakuwaje?
1. Wazee wa kubet
2. Makapuku forum
3. Kupeana likes
Hizi ni threads ziko active muda wowote na wadau wake kila ukiingia ni kama wametengeneza familia fulani ya wao wao, nawaza mods siku waziondoe itakuwaje?
Bila kusahau uzi wa kutupia picha za mademu wakali
Katecno kako kamefanana na ka yule mhudumu wa pale ghorofani Mamba Kotela. Nimekupa hela ya kununua Samsung sijui umemhonga nani. Unaniaibisha sana we hujui tu.Hahaha hahaha hahaha
Bagamoyo ama bunju?! Halafu tabia yako ya kunisema na tecno yangu sitaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katecno kako kamefanana na ka yule mhudumu wa pale ghorofani Mamba Kotela. Nimekupa hela ya kununua Samsung sijui umemhonga nani. Unaniaibisha sana we hujui tu.
Pale Mamsera nilikuhonga nini? Jifanye umesahau basi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu anakuona ujue!! Wewe wakunipa hela kweeeli nikahonge!! Nitafunga siku saba kwa ajili yako
Unanikumbusha mwaka jana tupo china na mwenzangu ktk kukata mitaa jamaa yangu akaniuliza ile hoteli tuliokula cha kula cha mchana ipo sehem gani?bila ya kupoteza muda nikamjibu Gongo La Mboto[emoji1321]♂️
Jamaa akaniangaliaa akasema kwa hasira,oyaa acha upuuzi,nikamjibu mimi au wewe nani mpuuzi??
Wewe unajua wazi kabxaa huku china mimi na wewe wote wageni sawa na bubu na kiziwi.sasa iweje uniulize ati hoteli tulokula ipo mtaa gani[emoji38]
Huo uzi ni wakipuuzi sana saivi naupita kama siuoni yaaniBila kusahau uzi wa kutupia picha za mademu wakali
NzuriHahaha hahaha
Habari yako mkuu