Uzi wa shukrani kwa Mungu kwa kuumaliza mwaka 2019

Uzi wa shukrani kwa Mungu kwa kuumaliza mwaka 2019

Sanyambila

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
378
Reaction score
510
Hata sasa ni MUNGU amefanya. Ni kwa Neema na Rehema kufika leo.

Pia nikushukuru wewe kwa kuwa sehemu ya safari ya 2019. Umekuwa pamoja nami katika vipindi vyote.

2019 Umekuwa ni mwaka wa kicheko pamoja na machungu yenye mapito yake lkn mwisho wa siku ni MUNGU cutups ushindi jina lake litukuzwe.

Bye Bye 2019 na mambo yako.
Happy New year in advance
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
 
Binafsi sionagi tofauti ya mabadiliko ya mwaka zaidi ya kwenye kuandika tarehe. Akili zetu sijui zimefanywaje eti unaacha kufanya kitu Leo unasubiri mpaka mwakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom