mr vata
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 465
- 616
Ndugu zangu,
Yawezekana kuna mtu ulimfanyia kosa kubwa na ukashindwa kumuomba msahama moja kwa moja au kukiri kwake, basi jukwaaa hili ni kwa ajili yako, sema hapa hata kama hataona lakini angalau utakua umetoa dukuduku moyoni.
Kuna wale ambao wana mambo mengi katika vifua vyao na hawajawahi kukiri au wamekosa sehemu ya kusemea basi mnakaribishwa hapa kutiririka.
Lengo la hayo yote ni kuwaleta watu pamoja na ikiwezekana kuleta upatanisho kati ya mtu na mtu ambao walikwazana au kuhitilafiana kwa namna moja au nyingine.
Karibuni[emoji116][emoji116][emoji116]