Mimi mwenyewe nilishangaa, maana najua wewe una kono sio mkono, lakini hata huo uko vizuri! Una vidimples sipati picha mashavuni! [emoji1474][emoji1474][emoji1474]Huo wa dogo [emoji1463] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nikiwa namsaka mdogo wangu Saint Anne kwa kosa la kuendelea kula Sembe[emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1908652
Mhh hii mbona mixer sana mkuuMix ya njugu, ndizi, cucumber, korosho, apple, nazi na maziwa fresh [emoji16][emoji16][emoji16]afya muhimu wakulungwa!
View attachment 1905926
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chezea njaa weweIla nimezingua asee njaa sa Nikakuta uji wa mtoto na tundizi sijui ndo ulaji mzuri au mbovu..kmnna tumboView attachment 1906339
Nimeyamisije khaaa
π π πDah...si afadhali angemwagika mbebaji
Duh, siachi kitu chini, hebu leteni maji niwaonyeshe... π π π
Mjuba upo real sana!!Samaki matembere mixer ugali humohumo
Me si mjubaView attachment 1907276