Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha ya utumbe shurti unuke kidogo[emoji39][emoji39][emoji39]Team 'utumbo' acheni kukodoa mimacho![emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 1911102
🏃🏃🏃Raha ya utumbe shurti unuke kidogo[emoji39][emoji39][emoji39]
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Vipi tena maalim mbona mbio tena ustaadh wangu[emoji125][emoji125][emoji125]
Dah [emoji39][emoji39][emoji39]uwo wa taulo ndowenyeTeam 'utumbo' acheni kukodoa mimacho![emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 1911102
Hapo mkuu unaandaje hiyo dawa?Mshana Jr Mshana jr
Tafuna Kisha upokee uponyaji wako
Chaliifrancisco
Behaviourist View attachment 1911194
Unatafuna tu ukitaka unasaga..kikubwa content iende tumboni kazi itaendelea hukoHapo mkuu unaandaje hiyo dawa?
🤣🤣🤣🙌🙌🙌Unatafuna tu ukitaka unasaga..kikubwa content iende tumboni kazi itaendelea huko
Kitu bomba ndio mpango mzima, na kichuri kwa mbaali!! [emoji2960][emoji2960][emoji2960]Team 'utumbo' acheni kukodoa mimacho![emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 1911102
NapokeaaaMshana Jr Mshana jr
Tafuna Kisha upokee uponyaji wako
Chaliifrancisco
Behaviourist View attachment 1911194
Na maziwa sometimes yawepo hata Kama Ni ya all-muddhish yanapunguza punguza sumu zetu zile za maniaje zetu
Kama ni kweli unatafuna hayo madude live huenda wewe ukawa ndiye mtu pekee duniani anaekula vyakula sahihi na bora sana.Na maziwa sometimes yawepo hata Kama Ni ya all-muddhish yanapunguza punguza sumu zetu zile za maniaje zetuView attachment 1911480
Mkuu mbona me kila siku natafuna nishazoea Tena Kama tangawizi ndo sometimes naiweka mdomoni nainyonya Kama pipi mpk inaisha.iko vzr kwenye utendaji kazi wa misuli ya uume Tumia ndani ya siku moja tu utaona changes Sasa je ukiitumia kwa weekKama ni kweli unatafuna hayo madude live huenda wewe ukawa ndiye mtu pekee duniani anaekula vyakula sahihi na bora sana.
Kitu ambacho ni chakula sahihi na bora sana ni kile ambacho siyo tu kwamba ni chakula lakini pia ni dawa kama yalivyo hayo madude.Haya madude ni chakula na hapohapo ni dawa pia.