Hahaha!!!...Nimecheka sana aisee,hiyo kofia iliyobeba karanga na kitunguu imenichekesha sana..Na maziwa sometimes yawepo hata Kama Ni ya all-muddhish yanapunguza punguza sumu zetu zile za maniaje zetuView attachment 1911480
Hii hapo mkuuHahaha!!!...Nimecheka sana aisee,hiyo kofia iliyobeba karanga na kitunguu imenichekesha sana..
Ndege John namkubali sana..
Kwa hili la kupiga marufuku mapilau nimekupenda,nisiposema nitakuwa mnafiki😁😁😁
ya now now au hata historia
Masaa 6 yashapita umetuacha kwenye mataa, haya wacha tupoze kdg [emoji116]Kaeni mkao wa kumeza mate..napakua sasa hivi
Uwii[emoji7]Masaa 6 yashapita umetuacha kwenye mataa, haya wacha tupoze kdg [emoji116]View attachment 1913328
Heri mtu anilishe maharage kuliko miguu ya kuku