Salute kwako mzee! Naona umeshanipindua na kuchukua nafasi yangu! Thanks. [emoji1474][emoji1474][emoji1474]
[emoji113] na vishaufu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39]
Bakia kwenye maparachichi wewe, ila sisi wa uswahilini miguu ya kwiyo ni mboga safi sana!Heri mtu anilishe maharage kuliko miguu ya kuku
Hata ningekuwa na njaa vipi siwezi kula.
Kitu ninachopenda mimi ni utumbo was kuku.
Hata Nikiwa na kuku mzima,utumbo lazima Nile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc: Saint Anne [emoji115][emoji115][emoji115]Tunda langu bora la muda wote[emoji847][emoji847][emoji847]
View attachment 1916495
Ndohiyo imelostiwa hapo chini???
HahahaMasaa 6 yashapita umetuacha kwenye mataa, haya wacha tupoze kdg [emoji116]View attachment 1913328
Ndio mkuuNdohiyo imelostiwa hapo chini???
Tunda langu bora la muda wote[emoji847][emoji847][emoji847]
View attachment 1916495
Hapo tunazungumza lugha mojaCc: Saint Anne [emoji115][emoji115][emoji115]
mimi hapo supu tu ya samaki na parachichi