Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Hahaha kulikoni Beberu Mwitu katoroka porini?
Unazingua...ujue nitataja li ID! Ila sio poa mtu wangu ulichonifanyia....
Niliweka hadi ile avatar yako kama wallpaper ya simu yangu lakini wapi?![emoji2377][emoji2377][emoji2377]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hhahahahaa ile avatar ilipotea bana. Naiomba kama bado unayo ๐Ÿ˜‚

Litaje tu maana next week linarudi.
 
Hhahahahaa ile avatar ilipotea bana. Naiomba kama bado unayo [emoji23]

Litaje tu maana next week linarudi.
Ninayo sikutumii maana si kwa ulivyonifanyia, yaani kote kule kuiweka wall paper na bado ukanitosa!? [emoji2305][emoji2305][emoji2305]
 
20210831_093708.jpg
20210831_212211.jpg
 
Back
Top Bottom