Sasa tuachie wa temeke miguu yetu ya kuku! [emoji2960][emoji2960][emoji2960]Hapo tunazungumza lugha moja
Mimi sili miguu ya kuku ila utumbo wa kuku nakulaSasa tuachie wa temeke miguu yetu ya kuku! [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Bado naendelea kusaka paka wameadimika kweli.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Supu ya miguu ya kuku ni hatari mydia
Hiyo picha ya kwanza imekaangwa au imechomwa mkuu?
Mmmh si kifaranga hilo [emoji86]
Picha ya ku kwanza, mkuu ni mshtuo wa kuchemshwa coz haya madude ukitaka kuyachoma ni lazima yachemshwe kidogo, badae upasue na kuchoma au ukaangeHiyo picha ya kwanza imekaangwa au imechomwa mkuu?
Acha mara moja kumfedhehesha mdogo wangu.Sasa hivi mahari yake ni TZS trillion mojaβΉοΈβΉοΈβΉοΈBado naendelea kusaka paka wameadimika kweli.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Mshamba! Endelea kula maparachichi!
Mh! Ndio sawa na dola ngapi hizo!! [emoji2305][emoji2305][emoji2305]Acha mara moja kumfedhehesha mdogo wangu.Sasa hivi mahari yake ni TZS trillion moja[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Oyaa, hebu twambie username yako ya zamani[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
πππ kule ulikopita nimepata notification yake kwani hujaona?Oyaa, hebu twambie username yako ya zamani[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Sema jau sana wewe! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125][emoji38][emoji38][emoji38] kule ulikopita nimepata notification yake kwani hujaona?
Hahaha kulikoni Beberu Mwitu katoroka porini?Sema jau sana wewe! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Mkuu hii ni nini?