Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kumbe huyu shujaa ni mwanachama wa uzi wetu pia!πππHamza gaidi enzi zake, kwenye vyakulaView attachment 1918139
Mkuu hii chakula gani hii
π π πKumbe huyu shujaa ni mwanachama wa uzi wetu pia!πππ
Unazingua...ujue nitataja li ID! Ila sio poa mtu wangu ulichonifanyia....Hahaha kulikoni Beberu Mwitu katoroka porini?
Alikumbuka kulipia kweli hapo? Maana magaidi yanakuwa makauzu kinyama!!Hamza gaidi enzi zake, kwenye vyakulaView attachment 1918139
Hhahahahaa ile avatar ilipotea bana. Naiomba kama bado unayo πUnazingua...ujue nitataja li ID! Ila sio poa mtu wangu ulichonifanyia....
Niliweka hadi ile avatar yako kama wallpaper ya simu yangu lakini wapi?![emoji2377][emoji2377][emoji2377]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Ninayo sikutumii maana si kwa ulivyonifanyia, yaani kote kule kuiweka wall paper na bado ukanitosa!? [emoji2305][emoji2305][emoji2305]Hhahahahaa ile avatar ilipotea bana. Naiomba kama bado unayo [emoji23]
Litaje tu maana next week linarudi.
Sijui kwanini ule mguu siwezi kuula hata iweje.Supu ya miguu ya kuku ni hatari mydia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha mara moja kumfedhehesha mdogo wangu.Sasa hivi mahari yake ni TZS trillion moja[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Bora niwe mshamba aisee ila ile miguu hata niwe na njaa vipi siwezi itia mdomoni[emoji23]Mshamba! Endelea kula maparachichi!
Utumbo wa kuku unakuwa na kichuri![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe huyu shujaa ni mwanachama wa uzi wetu pia![emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1919294
Wanaita kisinia ni balaa