Yaani comments zako kwenye vyakula vya watu zinanchekesha saana.Oooh
Mkuu, nyama gani hiyo?Wale wa maeneo ya sinza...karibuni haya maeneo yetu
White meat. Noma Sana. Hi unashushia na K V
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Karibuni..nliwamiss.
Mkuu umenikumbusha kwa bibi.hasa huo mlenda.
[emoji23][emoji23]Mmh hii itakua dozi ya kukuza matako, sishaur wanaume watumie hii