Sana KiongoziLeo unahamu na va asili
[emoji38]Hapana.
Ulaji huo nikimaliza kula nipe dakika 15 tu, Tumbo na Miguu lazima initetemeke
Njoo mamy..karibu sanaa
Kwa hiyo huji sababu ulihofia utashinda njaa?Aiseee
Ungeniambia unajua kupika namna hii ningekuwa nishakuja[emoji38]
Ntakuja unifundishe,uwife material ni pamoja na kujua kupika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubarikiwr Sana Saint Anne Kwa kutambua majukumu ya wife material. Unafaa Sana kwa matumizi!Aiseee
Ungeniambia unajua kupika namna hii ningekuwa nishakuja[emoji38]
Ntakuja unifundishe,uwife material ni pamoja na kujua kupika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ukwaju au chatni tyu! πππ
Kabisaa..na juice baridiBado ukwaju au chatni tyu! [emoji39][emoji39][emoji39]
I like the chocolate colour.