HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Leo unahamu na va asili
Fanya hvyo.We mwanaume bana so obviously portion yangu haikutoshi. Siku nikikualika utajipakulia mwenyewe [emoji851][emoji851]
Huo muda na umakin wa kuzingatia hayo yote sina..ni bora kuiacha tu...yaan nifikirie tozo..biashara..uchumi..mapenz..na kwenye kula napo niwe na mahesab makal..si ntazeeka kwa mawazo chifu..bora kuiacha...aisee ilibak kidogo nipate bawasil..dokta akanambia achana na dona kabisa shekheWewe unakula dona bila ya kuzingatia kanuni za kula kama vile kula matunda,kunywa maji nusu saa kabla ya kula ili kurahisisha mmeng'enyo wa chakula pamoja na choo salama,kula matunda,mboga za majani,kubadilisha aina ya vyakula mara kwa mara na kadhalika halafu unalialia juu ya bawasiri?Wewe unafikiri kuwa dona ni Mungu?Tena dona lipo kama Cement usipozingatia kanuni za kula vyakula linaziba choo!
Hakuna chakula utakachokula bila kuzingatia umakini halafu ubakie salama.Huo muda na umakin wa kuzingatia hayo yote sina..ni bora kuiacha tu...yaan nifikirie tozo..biashara..uchumi..mapenz..na kwenye kula napo niwe na mahesab makal..si ntazeeka kwa mawazo chifu..bora kuiacha...aisee ilibak kidogo nipate bawasil..dokta akanambia achana na dona kabisa shekhe
Mi nikila hiv narudisha chenji fasta...siweziii..
Bro unakula maisha kinyamaBora mandazi au mihogoView attachment 1923551
Hzo chia seeds ztaharib ladha..vyakula vya watu wa diet hiv
Upate ya kuchoma tam ajabu hutoacha[emoji23][emoji23][emoji23]Rafiki hivi nanilihu nayo huwa inaliwa?[emoji848][emoji848][emoji848]
Hili pishi ukitaka linoge upate sotojo lile zito unatia karanga[emoji39]Ndo mambo ya boys hayo kuchafua sufuria na jiko ila nisijipe stress Sana kitu yummy hiko hapo karibunView attachment 1919441
Hizi hukandwa kwa maziwa na samli, na kuchomwa na samli pia.Hii ndio Chapati, imekandika na kuchomeka, sio wale wenzangu na mimi wanaochoma KAUKAU halafu wanakuambia Chapati.
View attachment 1923052
🏃🏃🏃🏃Upate ya kuchoma tam ajabu hutoacha[emoji23][emoji23][emoji23]
Wenda wapi yakhee![emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nakimbia,siwezi kula mbususu mimi!😁😁😁Wenda wapi yakhee![emoji23][emoji23]