HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Hivyo vinakung'utwa kishwa vinarudishwa, maisha yanaendelea. Hakitupwi kitu hapo.Dah...si afadhali angemwagika mbebaji
Wamekupiga bani, sijui umewazingua kitu gani.
Pole Kiongozi.
Endelea kula kwa macho, sie tunaserereka tu