Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Toba roho yangu... Maboga [emoji22]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toba roho yangu... Maboga [emoji22]
Kweli, hiyo shida ishawahi nikumba, sio mchezo ugali, unatengeza makombora magumu aisee, ukiwa msalani lazma chozi litoke, au upige nduru wallahi 😁😁😁😁😁hatari sana! 😂Wewe unakula dona bila ya kuzingatia kanuni za kula kama vile kula matunda,kunywa maji nusu saa kabla ya kula ili kurahisisha mmeng'enyo wa chakula pamoja na choo salama,kula matunda,mboga za majani,kubadilisha aina ya vyakula mara kwa mara na kadhalika halafu unalialia juu ya bawasiri?Wewe unafikiri kuwa dona ni Mungu?Tena dona lipo kama Cement usipozingatia kanuni za kula vyakula linaziba choo!
Thank you my dearhapana unafanya kama unayaosha kwa maziwa ila unayaacha humo kwa dakika kadhaa
Tobaa! Siwezi kula mimi, mbupu kabisa hizi🤔😂
Rafiki hivi nanilihu nayo huwa inaliwa?🤔🤔🤔Tobaa! Siwezi kula mimi, mbupu kabisa hizi🤔😂
Eti financial services kwa mwanamke akila, inamuongea homonyms za kike ni kweli?Tobaa! Siwezi kula mimi, mbupu kabisa hizi[emoji848][emoji23]
Mwanza au Kigoma?Ndo mambo ya boys hayo kuchafua sufuria na jiko ila nisijipe stress Sana kitu yummy hiko hapo karibun
Hii ndio Chapati, imekandika na kuchomeka, sio wale wenzangu na mimi wanaochoma KAUKAU halafu wanakuambia Chapati.Chapati na ....
Mkuu HARUFU hii chapati inafaa kuliwa na rosti ya aina gani, au supu ya aina gani?Hii ndio Chapati, imekandika na kuchomeka, sio wale wenzangu na mimi wanaochoma KAUKAU halafu wanakuambia Chapati.
View attachment 1923052