Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Walaji wa Maboga, karibuni!
Umenitamanisha.

1630817000284.png
 
Wewe unakula dona bila ya kuzingatia kanuni za kula kama vile kula matunda,kunywa maji nusu saa kabla ya kula ili kurahisisha mmeng'enyo wa chakula pamoja na choo salama,kula matunda,mboga za majani,kubadilisha aina ya vyakula mara kwa mara na kadhalika halafu unalialia juu ya bawasiri?Wewe unafikiri kuwa dona ni Mungu?Tena dona lipo kama Cement usipozingatia kanuni za kula vyakula linaziba choo!
Huo muda na umakin wa kuzingatia hayo yote sina..ni bora kuiacha tu...yaan nifikirie tozo..biashara..uchumi..mapenz..na kwenye kula napo niwe na mahesab makal..si ntazeeka kwa mawazo chifu..bora kuiacha...aisee ilibak kidogo nipate bawasil..dokta akanambia achana na dona kabisa shekhe
 
Hakuna chakula utakachokula bila kuzingatia umakini halafu ubakie salama.
 
Back
Top Bottom