Kwa nini mkuu?Mh hii mixer hii ina lake jambo sio bure
Mam, huyo kuku umemfanya mwenyewe au umechukua take away? Mimi kila nikijaribu kuku KFC style anatokea kwa muonekano ila sipati ile crispy na crunchiness nakwama wapi sijui!
Jaribu triple dipMam, huyo kuku umemfanya mwenyewe au umechukua take away? Mimi kila nikijaribu kuku KFC style anatokea kwa muonekano ila sipati ile crispy na crunchiness nakwama wapi sijui!
Mihogo oyeee [emoji106]Bora mandazi au mihogoView attachment 1923551
MashaAllah. MashaAllah.Afu nami nilipika jana jioni, ngoja niweka kapicha. View attachment 1927837
Bwana sie wenye wtt ukipika hivyo utaishia kula mwenyeo tu
Ohh yaani ni deep fry mara tatu au sijaelewa mam'.Jaribu triple dip
Hatari sana, huu uzi huwa unanipa munchies za kutosha, naanza kutamani kila kitu, huko juu nimetamani mihogo, nitaisaka kesho inshallah! 😀Good evening all View attachment 1929409
Eeh..Ohh yaani ni deep fry mara tatu au sijaelewa mam'.
Ahsante sana.Eeh..