Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

una weza kula ugali kwa kachumbariii
20210830_220912.jpg
20210903_223032.jpg
 
Mam, huyo kuku umemfanya mwenyewe au umechukua take away? Mimi kila nikijaribu kuku KFC style anatokea kwa muonekano ila sipati ile crispy na crunchiness nakwama wapi sijui!
I wiiiiish!!!!😛😛

Mi hata sijawahi kujaribu maana naona kama ntafail tu somewhere 😒😒

Question...kwenye coat yako huwa unatumia breadcrumbs pia??? Maana nayo huwa inachangia sana kuongeza crunchiness.
Unaanza na unga, mayai alafu ndo una-dip kwenye breadcrumbs.
 
Back
Top Bottom