I wiiiiish!!!!😛😛Mam, huyo kuku umemfanya mwenyewe au umechukua take away? Mimi kila nikijaribu kuku KFC style anatokea kwa muonekano ila sipati ile crispy na crunchiness nakwama wapi sijui!
embu pitia kweny hii page ya uyu bidada niliona katoa maelekezo mepesi tu jinsi ya kutengeneza hao kukuMam, huyo kuku umemfanya mwenyewe au umechukua take away? Mimi kila nikijaribu kuku KFC style anatokea kwa muonekano ila sipati ile crispy na crunchiness nakwama wapi sijui!
Boonge la sahaniStyle hii ya ulaji ni mpya!View attachment 1929989View attachment 1929990
Mkuu picha ya 2 ni sahani ya bati 3 × futi10Style hii ya ulaji ni mpya!View attachment 1929989View attachment 1929990
Nyama[emoji39][emoji39]
Hii kitu ngoja tuombe muongozo toka kwaMam, huyo kuku umemfanya mwenyewe au umechukua take away? Mimi kila nikijaribu kuku KFC style anatokea kwa muonekano ila sipati ile crispy na crunchiness nakwama wapi sijui!