Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Shish Kebab.

1631736286403.png
 
Yan had nivisugue na chumvi ile mimaji yake ipungue kabisaaaaaa ndio nakula tofauti na hapo sili rafiki
Ukishaondoa yale maji yake umeharibu kila kitu.Vitunguu maji,vitunguu swaumu pamoja na tangawizi ni miongoni mwa vyakula bora vya muda wote hapa duniani.

Jifunze kula vitu hivi vikiwa vibichi kisha utanishukuru bila shuruti.

image0mkju712.png
 
Back
Top Bottom