Yan had nivisugue na chumvi ile mimaji yake ipungue kabisaaaaaa ndio nakula tofauti na hapo sili rafikiRafiki huwa huli vitunguu vibichi?
Mboga ya Bamia naipenda sana
MAZA wangu anatafuna hivyo vibichi, yaani Kitunguu kama kilivyo anakimenya maganda na kuanza kukitafunaYan had nivisugue na chumvi ile mimaji yake ipungue kabisaaaaaa ndio nakula tofauti na hapo sili rafiki
Acha huu ushumbwanda wewe lete misosi tu hapa.
Kama unayajua yote haya nitajie top five ya vyakula bora duniani vya muda wote.Acha huu ushumbwanda wewe lete misosi tu hapa.
Tunajua yote hayo
Ukishaondoa yale maji yake umeharibu kila kitu.Vitunguu maji,vitunguu swaumu pamoja na tangawizi ni miongoni mwa vyakula bora vya muda wote hapa duniani.Yan had nivisugue na chumvi ile mimaji yake ipungue kabisaaaaaa ndio nakula tofauti na hapo sili rafiki
Nazingua tu 🥴🥴Dieting loh,...!