Samaki wa Nazi, Nyanya chungu, Bamia, Pilipili Hoho.
Ubwabwa na pilau siyo chakula.Vikwepe kadri uwezavyo.Ubwabwa mdogo sana.
Aisee we jamaa kiboko una utani na mamoderata nini? 🤔Ubwabwa na pilau siyo chakula.Vikwepe kadri uwezavyo.
Leo nataka nijipikilishe.. Nina ugeni raasmi sanaHahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji120] Mshana Jr umenikumbusha maisha halisi nilio kulia kwetu kijijini
😊mpaka nimepata njaa
Mie huu ni uzi wangu wa kutafutia njaa, appetite na munchies. 😀😊mpaka nimepata njaa
Sio vizuri hivyo😌, sina pakupata hata maziwa leo.Mie huu ni uzi wangu wa kutafutia njaa, appetite na munchies. 😀
Njoo unywe, tena haya huna nayagandisha mwenyewe, matamuuuu bakuli lake la kugandishia safiiii 😀Sio vizuri hivyo😌, sina pakupata hata maziwa leo.
Bora hata nimepata mwalimu, naomba nielekeze jinsi ya kugandisha maziwa nimechoka kudoea kwa watu☺Njoo unywe, tena haya huna nayagandisha mwenyewe, matamuuuu bakuli lake la kugandishia safiiii 😀
Halafu buana umeacha kupost misosi na wewe huwa unatusababishia majanga hasa kama mtu uko sehemu hakuna chakula 😀
Kutoka mtandaoni🥗Njoo unywe, tena haya huna nayagandisha mwenyewe, matamuuuu bakuli lake la kugandishia safiiii 😀
Halafu buana umeacha kupost misosi na wewe huwa unatusababishia majanga hasa kama mtu uko sehemu hakuna chakula 😀
Bila shaka bila shaka.Bora hata nimepata mwalimu, naomba nielekeze jinsi ya kugandisha maziwa nimechoka kudoea kwa watu☺