binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ndio ukuje nimekutunzia kasahani kako kadogo kama unavyokulaga.[emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ukuje nimekutunzia kasahani kako kadogo kama unavyokulaga.[emoji39]
Mweeee Asante[emoji847][emoji120][emoji120]Ndio ukuje nimekutunzia kasahani kako kadogo kama unavyokulaga.
True, kuna watu hudhani wanawake tunakula jikoni ndio maana hatuwezi kula sana mezani, ukweli ni kuwa unakuwa umeshashiba harufu.Mweeee Asante[emoji847][emoji120][emoji120]
Halafu Sasa kwa watu huwa nakula sana,nakuwa na njaa[emoji23].,sijui kwa vile huwa sihusiki mimi kupika.
Mimi chakula nilichopika mwenyewe au alichopika mtu ambaye tayari nishazoea chakula chake nyumbani huwa sili sana.True, kuna watu hudhani wanawake tunakula jikoni ndio maana hatuwezi kula sana mezani, ukweli ni kuwa unakuwa umeshashiba harufu.
Kumbe mpishi mzuri pia 😋
Haha 😀 karibu. Huwa unakula hivi vitu vya watu wa mjini?Kumbe mpishi mzuri pia 😋
Natumia kauli ya Kivumishi Kielezi kwamba ni chakula laini laini 😅 ila huwa nakula mara moja mojaHaha 😀 karibu. Huwa unakula hivi vitu vya watu wa mjini?
Kwa kweli hiki kinafaa mara moja moja ka a hivi.Natumia kauli ya Kivumishi Kielezi kwamba ni chakula laini laini 😅 ila huwa nakula mara moja moja
Kivumishi Kielezi kuna chakula kimepikwa na bi mdogo karibu sana mtani. Ngoja mtaalamu akaribie tupate dinner pamojaKwa kweli hiki kinafaa mara moja moja ka a hivi.
😀😀😀😀😀😀 akaribie.Kivumishi Kielezi kuna chakula kimepikwa na bi mdogo karibu sana mtani. Ngoja mtaalamu akaribie tupate dinner pamoja
Umefunga mlango wa pili, unirushie ka ujumbe kule 😅😀😀😀😀😀😀 akaribie.
Chakula kidogo mno.Utani gani Darmian?
Nilikula na parachichiChakula kidogo mno.