Uzi wa vyakula tu

True, kuna watu hudhani wanawake tunakula jikoni ndio maana hatuwezi kula sana mezani, ukweli ni kuwa unakuwa umeshashiba harufu.
Mimi chakula nilichopika mwenyewe au alichopika mtu ambaye tayari nishazoea chakula chake nyumbani huwa sili sana.
Kweli kabisa,jikoni tunashiba harufu.

Ila nikienda ugenini kwa watu[emoji39][emoji39] nakula mara 2 ya ninavyokula nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…