Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Huu ndio utumbo halisi unaofaa kufyonzwa na kutafunwa, sio ule mwingine...
Usimalize Kiongozi, nibakishie japo kidogo
Nimeitamani, Mihogo laini sio ile chelema.
Nini hiyo mkuu
Mh hadi mate. Imetulia na ile kachumbari ya mchuzi usipunjweNimeitamani, Mihogo laini sio ile chelema.
Hata mi naonaBreakfast hiyo ya mazagazaga