Uzi wa vyakula tu

I know naweza kuwa naingilia issue personal lakini nisamehe tu. Sio vizuri ukiacha chakula hivyo. Pakua unachoweza kumaliza. Hata kama hupakui wewe basi punguza kabla hujaanza kula.

Sio tabia nzuri kupakua chakula usichoweza kumaliza.

Sorry.
Hata Mimi huwa sipendi kuacha chakula namna hiyo.

Niliomba nipakuliwe na nilidhani nitamaliza[emoji2362]
 
I am sorry for that. Nilidhani labda ndio tabia yako.
Hapana[emoji38]

Huwa napakua kiduchu.
Niko radhi niongeze iwapo sitatosheka kuliko niache.

Ila binti ninayeishi naye[emoji2362],,haoni tabu kupika ubwabwa na kuumwaga wote.
Niliongea hadi Nikachoka,ikabidi nifunge store,niwe napima mwenyewe chakula cha kupika.
 
That's good. Next time usimwambie mtu akupakulie pakua mwenyewe. Mkumbushe huyo binti kuwa ashukuru Mungu ana afford kupata huo mlo kuna watu hawana uwezo wa ku afford hivyo asitupe hovyo chakula.
 
That's good. Next time usimwambie mtu akupakulie pakua mwenyewe. Mkumbushe huyo binti kuwa ashukuru Mungu ana afford kupata huo mlo kuna watu hawana uwezo wa ku afford hivyo asitupe hovyo chakula.
Unadhani anaelewa basi!
Nilifanya tu kufunga,japo ananiona nina roho mbaya ila bora iwe hivyo.

Nilivyoona anatapanya mno ikabidi unga,mchele,maharage nigawe gawe kwa wahitaji,chakula store kikabaki kidogo.
Siyo mara zote namanage kupima pima, sometimes namuachia funguo yaani nikirudi jioni nakuta chakula cha mchana kimejaa,na usiku amepika kingine.
 
Duh anaonekana labda bado sio mwelewa. Unahitaji kuendelea kumwelewesha, mwambie hali halisi ya maisha ilivyo. Labda ameridhika na kujisahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…