Mama mjengo naona umeibwa na wasiojulikanaSuper breakfast[emoji7]
Haha, ninasubiri ukombozi wako Baba mjengo...Mama mjengo naona umeibwa na wasiojulikana
Mwenye mji amerudi[emoji16][emoji16]Haha, ninasubiri ukombozi wako Baba mjengo...
Kitu pambeee
😋😋😋 ukimaliza hapo ni usingz full
Usingizi asubuhi yote hii? 😂😂😋😋😋 ukimaliza hapo ni usingz full
Shibe haina adabuUsingizi asubuhi yote hii? 😂😂
Uji[emoji39][emoji39][emoji39]
@Darmian [emoji23][emoji23]Wapare bhana..N'way,good presentation.
Huu jmn[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Zinanoga sanaSikujua kama KANDE zinaweza kuliwa kwa Kachumbari.
Ahsante MDAU kwa kuniongezea utaalam kwenye masuala ya UMELO
Ndio unamaliza au unaanza mbona kama sishibi[emoji23][emoji23][emoji23]
Jana sikuwa na mboga wala tunda lolote.Niliamua kula wali mkavu.Mnyaki, wapi Parachichi? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Ndio unamaliza au unaanza mbona kama sishibi[emoji23][emoji23][emoji23]