Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Imagine na December ya kujiachia inakuja,Siku unaamka mlango unakuwa mdogo hauwezi kupita ndio utakoma 😂
Pole sana! Siku nyingine unikubalie lile ombi langu nimalizane na kaka yako![emoji4][emoji4][emoji4]Jana sikuwa na mboga wala tunda lolote.Niliamua kula wali mkavu.
Sa tutanenepaje [emoji276]inabidi uweze kumaliza sio kumwaga kwan wanaoweza hua wanawezaje,,,wanajitahidi tu[emoji2]Nikipakua kingi simalizi mweee,,,naogopa sana kumwaga chakula.
[emoji2][emoji2]tuongeze sahani mbili za matunda hapa
[emoji2][emoji2]patabomolewa mlango uongezwe,,,simple tuSiku unaamka mlango unakuwa mdogo hauwezi kupita ndio utakoma [emoji23]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji120][emoji120][emoji120]Haya njoo tule Emiir View attachment 1970975
Eti wanasema mbinguni tutapewa mwili mpya 😀😀Mambo yangu, ndio maana sipungui😄
Vishomboshombo uzuri wake havikinaishi.
😋😋Uroho huu..mhhhVishomboshombo uzuri wake havikinaishi.
![]()
Hodi[emoji39][emoji39]kigeto getoView attachment 1971505
karibuu sana mgeni jisikie upo nyumbaniHodi[emoji39][emoji39]