Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Nyama ziko wap sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyama ziko wap sana
Hahaha hiyo sio mimi ni mtu alinitumia anafanya dietBloo namna hii utakuja kufa bloo..kabich na ndiz
Ugali huo! naupenda ila kuusonga siwezi kabisa dah!View attachment 1971998
jana usiku
Ndio mkuu. Alinitumia mtu jana kaniambia ni mihogo ya nazi na visamaki hivyo.Samahani hii ni mihogo?
Una procedures za tofauti?Ugali huo! naupenda ila kuusonga siwezi kabisa dah!
Hapana, ila kuusonga unahitaji nguvu sana sababu unavutika mno.Una procedures za tofauti?
Nije kukusaidia?Hapana, ila kuusonga unahitaji nguvu sana sababu unavutika mno.
Hahah utawezana?Nije kukusaidia?
Haishindikani nitaweza tu.Hahah utawezana?
Itabidi nifanye mpango wa kupata unga kabisa.Haishindikani nitaweza tu.
Kama vipi nije nao kabisa.Itabidi nifanye mpango wa kupata unga kabisa.
You are being too nice, ntakulipa na nini? 😀Kama vipi nije nao kabisa.
Mmeniacha wakuu ..unga tena?..ujue sis vitoto vya shetan mawazo yanakua mengItabidi nifanye mpango wa kupata unga kabisa.
Unga kama unga ndugu 😂😂 tunazungumzia ugali!Mmeniacha wakuu ..unga tena?..ujue sis vitoto vya shetan mawazo yanakua meng
Bas sauwaUnga kama unga ndugu [emoji23][emoji23] tunazungumzia ugali!
Hauhitaji kunilipa. Kunikaribisha tu na kupata chakula pamoja ni courtesy kubwa sana.You are being too nice, ntakulipa na nini? 😀
Ohh then unakaribishwa kwa mikono miwili kabisa.Hauhitaji kunilipa. Kunikaribisha tu na kupata chakula pamoja ni courtesy kubwa sana.
Thanks. Nitakuambia nikitaka kuja.Ohh then unakaribishwa kwa mikono miwili kabisa.
sijui kwa nini sili maharage mtaaniHapo umekosa maharage tu