Njegere kwa nyanya chungu jamani[emoji848]
Hongera, pilau limetokelezea.
NdiyoNjegere kwa nyanya chungu jamani[emoji848]
Hakika ntajaribu
Nina miaka zaidi ya kumi sasa napika namna hiyo.Hakika ntajaribu
Sawa na me ntajaribuNina miaka zaidi ya kumi sasa napika namna hiyo.
Ila ni kwa mboga ninayotaka kula na pilau tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh izo sambusa sasaSikuwah kujua Kama sambusa na supu zinakwendaView attachment 1973712
[emoji1751]
Njegere zina fit kwenye vyakula vingi. We mwenyewe tu na ubunifu wako wa mapishiNjegere kwa nyanya chungu jamani[emoji848]
MashaAllah. Kuleni kwa afya.
Siyo kuvumilia njaa.Dada Simara huwa anasema ni kuhifadhi njaa😁😁😁Baada ya kuambiwa nyumbani wamepika ndizi mchana, nikavumilia njaa ili nije kula home ndizi, nazipenda sana.
View attachment 1973072
Nakubali mzee