Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Tukuti indyali.Nkamu gwako[emoji109]
Mimi ni jirani wenu huko Tukuyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukuti indyali.Nkamu gwako[emoji109]
Kkk nyumbani Iponjola hapo
[emoji39][emoji39][emoji39].. church ushatoka, au unashiba kwanza
Inanoga hatariView attachment 1976998
Hii show raha yake muipige mande..tena bila vijiko..
Cake hiyo[emoji39][emoji39]
Kipome yah,aisee uzee tu unawaondoa ila walikua wakali sana kwenye mapishi na upendo kuna vyakula navikuta duniani nashangaa bibi alikua anapika pale kijijini enzi hizo.Huyu kama bibi yangu vile, kuna mapishi alikua anayamudu vibaya mno, kuna hadi ndyali za kipome dah, May your soul keep resting easy Bibi😘😪
Mie mpk kilo moja naweza kusonga lkn kwa mbinde. Zaidi ya kg moja sijawahimimi pia siuwezi nautoa na mabuje, nilisongewa na friend
Mupenzi hili sheli or cassava
[emoji106]
😀😀😀 kweli.Siyo kuvumilia njaa.Dada Simara huwa anasema ni kuhifadhi njaa😁😁😁
Mashallah! mna bahati sana mliopata kupikiwa na bibi.Hizi kwetu tunaziita ndyali,sasa bibi alikua anazipika mixer maharage mabichi na maziwa nyama mbwembwe tu na siku akiamua ilikua pork belly lile na mafuta yale analiweka juu kabisa pale basi linateremsha utamu wote chini kwenye ndizi hageuzi anatikisa tu.
E bana utamu unatoka pale sijawai kuupata.
Mi Nilikua naomba chai tu ili hata nishibe vipi nagonga fundo kazi iendelee.
Tatizo bibi hali kabisa,akimaliza kupika akaweka chungu pembeni huyo anatimka zake mashambani huko na mundu au jembe
Dah, uchokozi huu!Last Night
View attachment 1977383