Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

.
IMG_20211017_093959_2.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kama bibi yangu vile, kuna mapishi alikua anayamudu vibaya mno, kuna hadi ndyali za kipome dah, May your soul keep resting easy Bibi😘😪
Kipome yah,aisee uzee tu unawaondoa ila walikua wakali sana kwenye mapishi na upendo kuna vyakula navikuta duniani nashangaa bibi alikua anapika pale kijijini enzi hizo.
RIP TUKUSUMA🙏😥.
 
Hizi kwetu tunaziita ndyali,sasa bibi alikua anazipika mixer maharage mabichi na maziwa nyama mbwembwe tu na siku akiamua ilikua pork belly lile na mafuta yale analiweka juu kabisa pale basi linateremsha utamu wote chini kwenye ndizi hageuzi anatikisa tu.
E bana utamu unatoka pale sijawai kuupata.
Mi Nilikua naomba chai tu ili hata nishibe vipi nagonga fundo kazi iendelee.
Tatizo bibi hali kabisa,akimaliza kupika akaweka chungu pembeni huyo anatimka zake mashambani huko na mundu au jembe
Mashallah! mna bahati sana mliopata kupikiwa na bibi.
 
Back
Top Bottom