Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ngoja nikazoze kidogo na kiporo changu😁Kiporo na green tea (mchaichai + mpera)
KaribuniView attachment 1977173
Hata kitukuu wake kampikia hahaaa siku hiyo kijana wangu anatoa michozi kwa moto wa kuni ndani mle mi namwambia ndo baraka hizo.Mashallah! mna bahati sana mliopata kupikiwa na bibi.
Aah mwamba maji yakunawa sasa, ya kunywa tutatambaa na hayo hayo tulionawa👊Cha maselaView attachment 1977936
Huu ni mchemsho tu. Nyama unaunga km kawaida na thomu na tangawizi, binzar kdg na pilipili washa kdg.Recently nimeona nimeyachoka mapishi yote ya nyama, nimeamua kunywa supu tu, au nyama fulani hivi naikaangia vitunguu vingi naepua vitunguu vikiwa bado vibichi na siweki chochote, hii yako imenivutia. Hebu nipe recipe au ni hizi hizi za kawaida? kitunguu, garlic, nyanya, nyanya paste basi??
Naombeni mbogaView attachment 1978711