Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Buku 6.Njegere, Samaki.
Jamani.
![]()
Tunachanga wawili Buku tatu tatu lunch. Kwa wanawake tu.... Lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buku 6.Njegere, Samaki.
Jamani.
![]()
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]nibkishie najaPilau la mbeya la jana hilo. Na paste ya kutolea.
Mie I don't like pilau na kachumbari View attachment 1981061View attachment 1981062
Amen auntie[emoji4]Mimi kuna point inafika siwezi kula kumaliza hata iweje.
Nikijilazimisha ntarudisha chenji.
Sijui hata nitenenepa vipi[emoji23]Mungu aingilie kati
jmn[emoji39][emoji39][emoji39]Mkuu kila ukitupia hutu tududu usiache kunialika tafadhali[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1545]
Nimeanza kumeza vitamin B complex..yaani kila baada ya nusu saa njaa inaniuma.Amen auntie[emoji4]
[emoji91]Pilau la mbeya la jana hilo. Na paste ya kutolea.
Mie I don't like pilau na kachumbari View attachment 1981061View attachment 1981062
Haya maharage kwa kuyaona tu ni matamu
Mmmmh em ngj nije tuongee vzrNimeanza kumeza vitamin B complex..yaani kila baada ya nusu saa njaa inaniuma.
Nadhani hizi dawa ni nzuri hasa kwa wavivu wa kula kama Mimi.
Sawa Auntie[emoji4]Mmmmh em ngj nije tuongee vzr
Cha asiliNimetamani, ongeza Ugali tafadhali.
![]()