Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

FB_IMG_1634565901566.jpg
 
Recently nimeona nimeyachoka mapishi yote ya nyama, nimeamua kunywa supu tu, au nyama fulani hivi naikaangia vitunguu vingi naepua vitunguu vikiwa bado vibichi na siweki chochote, hii yako imenivutia. Hebu nipe recipe au ni hizi hizi za kawaida? kitunguu, garlic, nyanya, nyanya paste basi??
Huu ni mchemsho tu. Nyama unaunga km kawaida na thomu na tangawizi, binzar kdg na pilipili washa kdg.

Chemsha ikikaribia kuwiva kiasi weka kitunguu maji kiasi na ndimu.

Hio km brown ni mama sitas source unaweza kuweka kdg ukipenda. So yummy [emoji39]
 
Back
Top Bottom