Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Hua sometimes tunafanya maksudiKunguru kanyea breakfast [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1986721
Mi mbona nkipika hazitoki hivi. Zinakua laini lakini naona hizi ni zaidi.Zinavutia
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile ap
Kata hiyo sehemu biashara iendeleeKunguru kanyea breakfast [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1986721
Nimetamani, ongeza Ugali tafadhali.
Unakulaje tikiti kizembe hivyo, tikiti unatakiwa kulika kwa hasira na sura ya kichina.
Haya ndio maneno sasa.Acha kabisa[emoji39][emoji39][emoji39]
Hapa ndio unakwenda kula au ni viungo vya kupikia mboga?!
Hawa ndege ninawachukia kupita maelezo. Natamani kuwe na kampeni maalumu ya kuwatokomeza watoweke maana wameshakuwa wengi sana hapa mjini hadi wanakuwa kero.Kunguru kanyea breakfast [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1986721
Hapa ndio unakwenda kula au ni viungo vya kupikia mboga?!