ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nangurukuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamtetea sio?Kuunguza ni bahati mbaya ambayo humkuta yeyote.
Sidhani kama yupo mtu ambaye hajawahi kuunguza chakula.
Ajali kaziniUnamtetea sio?
I was only joking bana.Ajali kazini
missyrose, Lizzy, Angel Nylon, farkhina, binti kiziwi, The Happiness, Saint Anne, na Mafundi wengine wote.Mi mbona nkipika hazitoki hivi. Zinakua laini lakini naona hizi ni zaidi.Zinavutia
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Aisee fukuza kama yuko ndani paki mizigo yake kabisa🤣🤣🤣Hapa kuna mke kweli au nimpige tu chini mapema kabla sijamweka ndani?
View attachment 1985269
Hahaha wenzake wameshamtetea bana namuacha tu.😂Aisee fukuza kama yuko ndani paki mizigo yake kabisa🤣🤣🤣
[emoji23]I was only joking bana.
Rafiki mbona umekuwa mweusi sana mpaka nimetishika nilipoona weusi huo!![emoji23]
Haya ila ukhitaji magunia ta mkaa ninayo bei sawa na bureHahaha wenzake wameshamtetea bana namuacha tu.😂
Sawa babu usijali ukitokea uhitaji nitakutaarifuHaya ila ukhitaji magunia ta mkaa ninayo bei sawa na bure
Mi mbona nkipika hazitoki hivi. Zinakua laini lakini naona hizi ni zaidi.Zinavutia
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kwani teflon haiunguzi rafiki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rafiki mbona umekuwa mweusi sana mpaka nimetishika nilipoona weusi huo!!
Dada mrembo ila unashabikia timu za kizee.
Liver baba lao [emoji91]Dada mrembo ila unashabikia timu za kizee.